PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu

Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20

Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu
Jezi (nembo ya mdhamini africarriers) zitavaliwa kifuani na u-20, mabegani na simba queens


Screen Shot 2021-09-24 at 16.37.41.png
Screen Shot 2021-09-24 at 16.38.06.png
Screen Shot 2021-09-24 at 16.37.51.png
 
Daaah!! Simba na Barbara punguzeni kutupa raha....

Aisee
Msukule Wa Kizungu atakufa kwa msongo wa mawazo. Hebu mwambieni Barbara na Mo Dewj wapunguze spana.

Msukule kila akiita press kuwachafua viongozi wa simba, anategemea na wao wamjibu ila wao wanamkalia kimya mpaka sasa amejiona kiazi.

Watamuua kabla ya siku zake.

Tuache Ushabiki,

Mimi Sio Shabiki Wa Simba Wala Yanga, Ila Team Ya Simba Sasa Hivi Inaongozwa Kama Team Za Mbele. Jamaa Wapo Systematic, Forecasting na Good Planning. Wameziba Mianya Yote Ya Upigaji Hela Ndani Ya Team. Wanatumia Hela Nyingi Sana Kufanya Investment Ya Team.

Hawa Jamaa Watafika Mbali Sana Kwa Africa. Na Ndani Ya Miaka 5 Ijayo Wakienda Hivi Watacheza Fainali Ya Kombe La Africa.


Mark My Words.
 
IIwee......
Mupe.........Muruke...........
Huyu Mupe.......Maji ...
Huyu Mupe.......Fyata...
Huyu Mupe.......Balimi......
Huyu Muruke.....





Simba Nguvu Moja
Noma sana watu wanagonga glas tu cheers
 
Hizi Zinaitwa Ngumi Za Chembe Kutoka Kwa Barbra kwenda kwa Msukule....! Ni Mwendo wa Vitendo tu...!
 
Hongereni.

Lakini nawasubiria sana pale JANGWANI. "TIMU YA WANANCHI" inawangojea huku.

"Forward Ever Backward Never"
 
Back
Top Bottom