Hiyo ya Kapombe inafurahisha 😂 na kusikitisha 'kama mtanzania nahisikia kudhalilika mno
anaugulia maumivu saa hizi,sijui yupo kampala,sijui tel aviv au msimbaziGENTAMYCINE angalia vitu adimu hivyo!
Jana Baba Ester alikuwa na wakati mgumu sana. Muda wote alikuwa anahemea juu juu kama samaki aliyekosa hewa ndani ya maji. 😁
Huyu Mpanzu naye aliwaangusha sana mashabiki wake. Maana kabla ya mchezo tambo zilikiwa ni nyingi balaa. Mpanzu mpanzu!!
Nimeangalia hiyo picha ya mwisho nikajisemea kimoyomoyo" jaman kutafuta kugumu"
Alikuwa akigusa tu watu kama watano wanamvamia KWA vipindi tofauti vinavyopishana sekunde. Labda kama angesongea atokee pembeni. Kati ya hao aucho anamvizia kumkwatua akionekana anafauluHuyu Mpanzu naye aliwaangusha sana mashabiki wake. Maana kabla ya mchezo tambo zilikiwa ni nyingi balaa. Mpanzu mpanzu!!