Picha za Pacome zinavutia kama zimepigwa huko LA LIGA AU EPL

Huyu Mpanzu naye aliwaangusha sana mashabiki wake. Maana kabla ya mchezo tambo zilikiwa ni nyingi balaa. Mpanzu mpanzu!!
Alikuwa akigusa tu watu kama watano wanamvamia KWA vipindi tofauti vinavyopishana sekunde. Labda kama angesongea atokee pembeni. Kati ya hao aucho anamvizia kumkwatua akionekana anafaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…