Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.