Injinia Lucas mwashambwa umesikia hii?Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
shangaa, yaani sijui tatIzo liko wapi, yaani vipaumbele ni ziro kabisa.Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Billion 5 zimetuka kuweka kila mkoa hayo mabangoKila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Labda yeye ndo kivutio cha utalii kwa kuwa na riasi aliyefeli kila sehemKila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Jamaa wanawaza local sio kimataifa. Hiyo ndio nguvu ya chawa.Maeneo ya Airport nikama uso wa nchi,nilitarajia yangetumiwa kimkakati kuitangaza nchi badala ya Rais.
Inaitwa kuuza suraKila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Nchi ya punguani hii. Huo ujinga pia ameufanya sana Bashe huko Nzega. Huoni huo upunguani kwenye mataifa yaliyoendelea.Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Labda na huyo Rais wanamuuza kwa watalii. Anatafutiwa mnunuzi. Huwezi kuona huo ujinga katika nchi zilizoendelea. Huwezi kuamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuufanya huo uwendawazimu.Maeneo ya Airport nikama uso wa nchi,nilitarajia yangetumiwa kimkakati kuitangaza nchi badala ya Rais.
Baadhi ya mabango anaonekana amevaa barakoa.Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza mazingira, nk.
Nilitarajia njia ya kuingia Kilimanjaro International Airport yangekuwepo mabango ya hifadhi za Taifa kama Tarangire, Manyara, Mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ruaha na fukwe za nchi ya Zanzibar.
Nawasilisha roho yangu ikiwa imejikunja.
Nguvu kubwa ilifsnyika baada ya mwenda ya jpm kufariki kuonyesha huyu ajuza eti ni bora kuliko marehem ndo wakachota hela ya kutengeneza hayo mabango ,lakini wapi la kuvunda halina ubaniLabda na huyo Rais wanamuuza kwa watalii. Anatafutwa mnunuzi. Huwezi kuamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuufanya huo uwendawazimu.
Sio Dar tu mpaka mikoani hukoSio uko tu ata dar yamejaa sehem kibao