Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

Hili nami linanishangaza sana ninapoyaona.. Sawa kumsifia Raisi wetu ila wajue tunataka kipato. Waliopewa mamlaka ni shida sana.. muhimu wajiongeze fastq na inatia aibu kipindi cha uchaguzi bado sanaaaa.
 
Ukijua motive sio kutangaza nchi bali kujitangaza wala hautashangaa...; Hili mbona ni muendelezo tu......

 
Utadhani nchi imepata uhuru juzi jioni
 
Tatizo siyo viongozi wakuu, ni chawa ambao ni wasaidizi wao pamoja na baadhi ya wananchi wajinga.
Akili za kichawa zikiondoshwa mbona viongozi watakaa sawa tu.
Mabango, nyimbo za sifa na vigelegele hafanyi Rais wala familia yoke.
Kinachotakiwa ni wananchi kuelewa jema na baya.
 
Billion 5 zimetuka kuweka kila mkoa hayo mabango
Bilioni 5 mkuu?! Duh! Kwahiyo kipaumbele cha nchi ni kutangaz kiongozi wa nchi halafu hivyo vingine vitakuja kwa kudura za Mungu.
 
Zinapotea pesa nyingi sana kutengeneza yale mabango yaliyo sambaa nchi nzima alafu hayana faida yoyote, asie mfahamu Bibi Chaudele ni nani 🤔 upuuzi tuu
 
Ndio upeo wetu wa kutangaza nchi ulipo ishia hata kibao cha TANROAD cha kuonyesha njia unayotakiwa kufwatwa kinatengenezwa kidogo kama cha njia za vichochoroni wakati njia hii ni kuu Corridor of Africa.
 
Sehemu kama Arusha kuanzia hapo KIA yangetakiwa yawepo Mapango yanayo tangaza vivutio vyetu mbalimbali tulivyo navyo nchini hii ni kwaajili wageni na kwaajili wananchi pia naamini hata wageni wakiona picha za rais kila mahali uwa wanashangaa.

Tunahitaji viongozi wenye IQ kubwa na hayo mabango yanaonyesha wazi tuna viongozi wenye uwezo mdogo wa AKILI na huko shuleni walienda kusomea ujinga.

Yale Mapango yanatakiwa yawe na picha za mlima Kilimanjaro, mlima meru, mlima oldonyo lengai, Serengeti, ngorongoro, mikumi, saadani, fukwe za Zanzibar, gombe, Nk.

Nimalizie kwa kusema vitu tunavyoviwekea mabango ni bidhaa na huduma mana biashara ni matangazo.
 
Naunga mkono hoja, kwenye maeneo ya Utalii picha za Rais zinafanya nini?

Watu wa Serikalini muwage na akili basi kwanza hazimuongezei chochote politically huko KIA.
 
Tena Yale ya umeme maana taa za solar zipo sio picha ya Rais , pumbavu zao.
 
Pengine hayo mapicha yake ndio vivutio vyenyewe
Mabazazi hupenda sana kampani inayopiga ulabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Gut
Ingekua ni nchi wanaoijelewa awamu ijayo huyu mama na serikali yake wangeangalia kwenye TV Serikali mpya ikiapishwa
 
Hiyo ni kazi ya chawa wa rais.
 
Nenda huko Uturuki ndiyo uone mapicha, sisi we have the real thing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…