Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Ohhhhoo nilijuaKwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?
Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhhhoo nilijuaKwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?
Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
MOLA NI WA MIUJIZABahati huwa haiji mara mbili
MOLA ni wa miujiza. ..Bahati huwa haiji mara mbili
Sio rahisi aiseeHivi mtumiaji wa hayo makitu kwa muda mrefu hata akiacha atakuwa kama alivyokuwa kabla ya kutumia??!!
Haaaahaaa mbona sie wachezaji mpira hawaturudishi ?wamrudishe Lunyamila niwasifuTanzania bwana kwani msanii akipotea ni lazima arudishwe tena kwenye kuimba hata Kama alikuwa na matatizo kila kitu na wakati wake atafute kazi nyingine afanye
Style ya nyimbo zake zina mahadhi ya kiuhindi flaniKwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?
Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
Kazi yake nimuziki unataka akauze maharage mchinga??Tanzania bwana kwani msanii akipotea ni lazima arudishwe tena kwenye kuimba hata Kama alikuwa na matatizo kila kitu na wakati wake atafute kazi nyingine afanye
Magome ya miti mkuuMavazi ya asili ya Tanzania ndio yakoje ndugu?
Sasa atafanya mziki maisha yake yote kila kitu na wakati wakeKazi yake nimuziki unataka akauze maharage mchinga??
Aachane na mzk kabisaapone kisawasawa,ili akianza mziki asifloat tena!