Picha za Ray C ndani ya muonekano mpya WA kihindi

Tanzania bwana kwani msanii akipotea ni lazima arudishwe tena kwenye kuimba hata Kama alikuwa na matatizo kila kitu na wakati wake atafute kazi nyingine afanye
Haaaahaaa mbona sie wachezaji mpira hawaturudishi ?wamrudishe Lunyamila niwasifu
 
Tanzania bwana kwani msanii akipotea ni lazima arudishwe tena kwenye kuimba hata Kama alikuwa na matatizo kila kitu na wakati wake atafute kazi nyingine afanye
Kazi yake nimuziki unataka akauze maharage mchinga??
 
Back
Top Bottom