Picha za satelaiti zilizochambuliwa na BBC zinaonyesha uharibifu wa maeneo kadhaa ya kijeshi nchini Iran kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Jumamosi.
Ni pamoja na tovuti ambazo wataalam wanasema zilitumika kwa utengenezaji wa makombora na ulinzi wa anga, pamoja na ile iliyohusishwa hapo awali na mpango wa nyuklia wa Iran.
Picha za satelaiti kufuatia mashambulizi ya Israel zinaonyesha uharibifu wa majengo katika kile ambacho wataalamu wanasema ni kituo kikuu cha kutengeneza silaha huko Parchin, takriban kilomita 30 (maili 18.5) mashariki mwa Tehran.
Tovuti hiyo imehusishwa na utengenezaji wa roketi kulingana na wataalamu kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Mafunzo ya Kimkakati (IISS). Ikilinganisha picha za satelaiti zenye ubora wa juu zilizopigwa tarehe 9 Septemba na picha iliyopigwa tarehe 27 Oktoba, inaonekana kwamba angalau miundo minne imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.
www.bbc.com

What satellite images reveal about strikes on Iran
BBC Verify has analysed satellite imagery from Iran to assess damage from Israeli air strikes.