son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na camp shimshom zikipata hasara na uharibifu dhidi ya mashambulizi ya Iran..Huku camp shimshom ikionyesha ilipata pigo zaidi baada ya moto mkubwa kuwaka kwa sq metro 200 ndani ya kambi na moto ulidumu kwa masiku kadhaa.
Kumekuwa na zuio kali ya kijeshi ya kutoa taarifa za uharibifu lakini picha za satellite zimeonyesha namna kambi za kijeshi zilivyopata uharibifu kutokana na mashambulizi ya iran
Kumekuwa na zuio kali ya kijeshi ya kutoa taarifa za uharibifu lakini picha za satellite zimeonyesha namna kambi za kijeshi zilivyopata uharibifu kutokana na mashambulizi ya iran