picha za show ya diamond mjini Musoma na Ukerewe

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
kwa nini wasanii wengine nao wasiige ubunifu kama huu wa diamond?kuanzia utofauti wa mavaz yake kwenye shows,uchezaji n.k kuliko kulia lia kuwa wanarogwa
 
Vyombo vya Muziki vipo wapi hapo? au ndio inawekwa CD tu ndio unaita ubunifu? pimbi kabisa wewe, Wanamuziki ni kina Lady JD, Banana Zorro, TID, and likes wanaopiga muziki Live na siyo hao wacheza CD halafu wewe unaita ubunifu. mwambie huyo basha wako aige ubunifu kutoka sehemu kama Machozi Band.
 
limmbukeni ni limbukeni tu.
 
Wakala upo? Vipi mimba ya penny inaendeleaje? Anaenda clinic kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
vyombo vya muziki vipo wapi hapo? Au ndio inawekwa cd tu ndio unaita ubunifu? Pimbi kabisa wewe, wanamuziki ni kina lady jd, banana zorro, tid, and likes wanaopiga muziki live na siyo hao wacheza cd halafu wewe unaita ubunifu. Mwambie huyo basha wako aige ubunifu kutoka sehemu kama machozi band.

hàhahahahahahahahah
 
..napita tu, sio fani yangu..
 
jamani kwani hamjui kuwa huyu jamaa ni Diamond mwenyewe anaweka post zake humu?
 
Vyombo vya Muziki vipo wapi hapo? au ndio inawekwa CD tu ndio unaita ubunifu? pimbi kabisa wewe, Wanamuziki ni kina Lady JD, Banana Zorro, TID, and likes wanaopiga muziki Live na siyo hao wacheza CD halafu wewe unaita ubunifu. mwambie huyo basha wako aige ubunifu kutoka sehemu kama Machozi Band.

Matola uko sahihi kuongea hivyo ila umekosea kuongea lugha ambayo kidogo inafedhehesha, kumbuka unachokisema ni tofauti kabisa na mazingira yaliyopo na gharama zenyewe unasema lady JD anapiga live lakini kumuchukua kumpeleka ukerewe na band yake na watu wake hizo gharama ni kubwa sana huyo promoter kamwe hawezi maana mwisho wa siku anataka kutengeneza profit, na kuiangalia kama hiyo show aliyoipiga hapo ukerewe refer to the picture inaonyesha wameridhika na burudani yake na diamond huwezi kumlinganisha na lady jd kwa uzoefu wa kimuziki hata komandoo jide alianzia huko na akafika hapo alipo, vitu vinaenda kwa hatua, cha muhimu ungetoa ushauri wa kumuambia atunze pesa kwa ajili ya kuanzisha band na sio kumuita pimbi mkuu. ni maoni yangu lakini na mawazo yako yanaweza kuheshimiwa vizuri sana kama ukitumia lugha ya ustaarabu
 
We diamond yaani tuige hiyo michup unayoionesha ambayo wewe ndio unaita ubunifu. kweli lazima yalie mbwatambwata.
 
Matola uko sahihi kuongea hivyo ila umekosea kuongea lugha ambayo kidogo inafedhehesha, kumbuka unachokisema ni tofauti kabisa na mazingira yaliyopo na gharama zenyewe unasema lady JD anapiga live lakini kumuchukua kumpeleka ukerewe na band yake na watu wake hizo gharama ni kubwa sana huyo promoter kamwe hawezi maana mwisho wa siku anataka kutengeneza profit, na kuiangalia kama hiyo show aliyoipiga hapo ukerewe refer to the picture inaonyesha wameridhika na burudani yake na diamond huwezi kumlinganisha na lady jd kwa uzoefu wa kimuziki hata komandoo jide alianzia huko na akafika hapo alipo, vitu vinaenda kwa hatua, cha muhimu ungetoa ushauri wa kumuambia atunze pesa kwa ajili ya kuanzisha band na sio kumuita pimbi mkuu. ni maoni yangu lakini na mawazo yako yanaweza kuheshimiwa vizuri sana kama ukitumia lugha ya ustaarabu

Umesema sahihi mkuu , hawa wapondaji wengi wao ni waimba bongo fleva wa zamani amabao mwaka unaisha hawajapata show pahala popote, wamuache diamond pamoja na mapungufu yake ila anajua kuwashika vijana kwa muziki wake huo ndo ukweli hata kama ni mchungu cc.. waimba bongo fleva wa zamani wenye majina na hawana show
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Vyombo vya Muziki vipo wapi hapo? au ndio inawekwa CD tu ndio unaita ubunifu? pimbi kabisa wewe, Wanamuziki ni kina Lady JD, Banana Zorro, TID, and likes wanaopiga muziki Live na siyo hao wacheza CD halafu wewe unaita ubunifu. mwambie huyo basha wako aige ubunifu kutoka sehemu kama Machozi Band.

Entrpreneurship is making money and obtaining large share of market by taking risk and utlizing very minimal resources. Diamond has managed this.You can compare Diamond and Ladha, one opted to sing and dance the other to build a complex. Who is smart. It is a matter of choice.
 
:nono::nono::nono::nono:
 
Dogo is digging, dig dig dig dig dig the money! Yeba, dig dig dig dig........ image.jpg that is the returns of entertainment industry.
 
Mkuu, wewe sio mdau wa muziki ila unawekwa mjini na huyu Diamond. Kama kweli unapenda maendeleo ungekua unapost na wasanii wengine.
 
Back
Top Bottom