Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Mademu wa bongo wana miili ya ajabu.. Haifanyi mazoezi hayazingatii balance diet yaani yupo kama boflo
 
Yaani baada ya makeup plus Photoshop ndi mnaona mzuri??? Nendeni Ethiopia au Kigali muone natural beauty.
 
Hips gani inaanzia kiunoni mpaka ktk magoti....akajipange tu upya
 
Siku akipiga picha na nguo ya kuogelea nitaweza kumsifia au kumponda. Kwa picha hizo zinazowachanganya sasa hivi ngoja nikae kimya.
 
Last week nilikuwa Stockholm duh hii mitoto ya kiswedish ni mizuri aisee natural and blonde
 
Siku akipiga picha na nguo ya kuogelea nitaweza kumsifia au kumponda. Kwa picha hizo zinazowachanganya sasa hivi ngoja nikae kimya.
Weeee thubuthuu yake!

Hata umpe milioni mia hajakuvalia nguo za beach yule, hata kwa dawa...
 
Sema demu wa Mbowe huwa anachanganya kweli.
Yaani unaweza kuta ndani ya Mwaka anapiga picha na maumbo zaidi ya matatu tofauti mpaka unajiuliza huwa anabadilika badilika...?
Akiwa na Mbowe ana umbo lake
Akiwa na Mayoy Jacob ana umbo lake
Akiwa na Mashinji ana umbo lake,
Akiwa Kisutu ana umbo lake.
Umbo lake inategemea yupo na nani na yupo wapi.
 
Tukunyema limezidi kuwa kubwa! Ni shidah hata Mfokate aoni ndani. Kweli tembo hashidwi mkongawe!
 
kama aliweza fake umiliki wa mjengo k'nyama siwez shangaa akifake shape kigodoro chahusika
 
Back
Top Bottom