tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Shepu hana..Uzuri anao
Shepu anayo
Urefu anao
Tabasamu ndo kabisaaa
Sauti ya chumbani ndo usiseme
Nundu lipo
Kudeka anajua
Najiulizaga kwann hapati mume wa ndoa ????!!! .....familia ni kitu cha furaha sana mkiwa na watoto wenu ......
Kupata mume sio mchezo...
Historia yake mbaya sana
watu wanapuyanga wanadanga na wanaolewa lkn walikua wanafanya siri...
Sasa yy kila bwana anamuanika...mabusu hovyo hovyo mitandaoni...
PRIVACY HANA