Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Izo Hips veepe asee mbona zinaelekea Magotini? Mchina product ikifikia apo Hakuna tena utamu
 
Mbona Ukiona Kwa macho yuko wema aliyekuwa anakula mate na mondi tena hiyo picha iko humu kwenye uzi wa celebrate forums.

Miguu Kama sindano tena michafuuuuu.

Ila hizi Photoshop anaonekana Kama naye eti yumo wakati ni reject.

Hata makinikia yetu yana thamani maradufu.
 
Acha kumsingiziaaa bhana nimemwona Wema mara nyingi tu. Half wema tako lipo tangu kitambo tafuta hata movie ya LERATO utaona
Sijabisha jamani.. tako analo sema hana hips ndo maana akisimama huwa anaonekana kama amebonyea kwenye mapaja... tena jioni hii tu nilikua nae sehemu tunafuturu bado umbo lake liko pale pale tako kubwa hips halifananii na lile tako
 
Au vazi la kuogelea. Ila mwaka huu mgumu. Bint wa kiislam kashindwa jifunkka gubi gubi kama miaka ya nyuma alivyokua anafanya kisa pesa
.... Aiseee.....kumbe nae ni Islam...

Bila shaka kabadili dini
 
kumbe sikosei kila nikiamka nashkuru mungu kwa kuniumba mwanaume
 
Tumhurumie tu ukiangalia hizo picha vizuri amevaa kibana tumbo. Wema ana kitambi cha bia ngumu kuisha haraka hivyo. Tako lipo la dawa za maimartha ila hips majanga zimeshuka balaa
Hivi lile shepu la hip na makalio lake kweli....!??

Nitamuheshimu siku akitupia kannga moko...
 
Kwa uzuri mzuri na shape ipo ila ukiiona live hizo hips haziko kama zinavyoonekana hapo...
Hahahahahaha yawezekana manake kwa hapa bongo ndio habari ya mujini... wachina siku hizi wamerahisisha.... wanaume hata sponch zinatudatisha
 
Tumhurumie tu ukiangalia hizo picha vizuri amevaa kibana tumbo. Wema ana kitambi cha bia ngumu kuisha haraka hivyo. Tako lipo la dawa za maimartha ila hips majanga zimeshuka balaa
IMG_20170623_203923_162.jpg
kama samaki mtu...

Kwani anahangaika nini huyu mwanamke..!??

She must be 30+ now...
 
Back
Top Bottom