Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Mi sijui na matatizo gani.mwanamke akiwa hivyo nakosa nae hisia kabisa naona kama nimelala na mdoli.samahani lakini
 
Kapendeza mdada ila hips zake zimeshuka jamaan
 
hips gani mpaka magotini...mmmmh only in Tanzania mwanamke anakua na hips iliyoanzia magotini
 
Siwezi kuamini kama hilo umbo ni la kwake labda Avue nguo zote.
 
Uzuri anao
Shepu anayo
Urefu anao
Tabasamu ndo kabisaaa
Sauti ya chumbani ndo usiseme
Nundu lipo
Kudeka anajua

Najiulizaga kwann hapati mume wa ndoa ????!!! .....familia ni kitu cha furaha sana mkiwa na watoto wenu ......
Yuko bize na vi Ben 10 mume atampata saa ngapi, huyu Dada anakua miaka akili imelala sana.
 
Wema will fool fools only...
To cut the foolery,Kama kweli wema ana hio shape I dare her avae swimming costume.... Bikini na bra
The only realest Boss lady Africa Mashariki na kati anabaki kuwa Zarina Hassan tuuuu.....
Wengine wooote sijui kna wema sijui Vera sijui huddah ni surgery, kujichubua, mara kuongeza nyonyo,waume hawana,watoto hawana,mabwana zao hawajulikani nk huku kipato Chao Kikiwa hakijulikani kinatokana na nini
Vtu fake fake fake tu...si mjikubali tu...mbna sie tunaishi vzuri tu
 
Uzuri anao
Shepu anayo
Urefu anao
Tabasamu ndo kabisaaa
Sauti ya chumbani ndo usiseme
Nundu lipo
Kudeka anajua

Najiulizaga kwann hapati mume wa ndoa ????!!! .....familia ni kitu cha furaha sana mkiwa na watoto wenu ......
Mwanaume akichojoa hakuti hilo shepu mnaloliona kwny picha
 
Back
Top Bottom