Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hahahahah Dr changamka hahahahUkitaka kuwa salama kwenye ndoa tafuta mwanamke wa kawaida kama Dr. Changamka , yule msaidizi wa Microphone kule dodoma,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah Dr changamka hahahahUkitaka kuwa salama kwenye ndoa tafuta mwanamke wa kawaida kama Dr. Changamka , yule msaidizi wa Microphone kule dodoma,
Mheshimiwa jaji wewe kwani unao msambwanda teh tehSijahukumu nje ya mahakama, ila kule BASATA anainda kusikilizwa, atapata ban ya maisha, maana ile clip ipo inazunguka, imedhalilisha wanawake wote wenye misambwanda.
Ndiyo ujue tulipofika, yaani hii nchi inabidi magufuli awape mabalozi fimbo za mianzi wawachape wajinga kama hawa, hakuna dini hapa duniani inakubali watu kulana tigo , ila jinga moja hapa linatetea eti ni mwili wakeMhh mbona watu wanatetea maovuu?
Kama raha zake Sasa alikuwa anahangaika Nini kuzuia jamaa hasivujishe zile video wakati ni raha zake mwenyewe?Mkuu maisha ni yale yale hakuna mafupi wala marefu.Kama huyo dada huko karibu nae mwambie Maisha hayana maana saa inakuja ataomba wakati urudi nyuma na wapumbavu wenzie wote wanaofanya hiyo michezo.Ni Raha zake, mwili wake wewe unaumia nini? Povu la nini? Tafuta la kufanya, Maisha mafupi sana
Ni msemaji mkuu wa maisha ya watu hapa Tz yaani anaweza zungumzia life lako hata kama hupendiHivi Mwijaku ndio nani wakuu?
Sijawahi hata kumsikia
Huyu Menina baada ya kutuletea hii burudani ndio nimemjua
Tafuta maisha, pambana na maisha yako yangu ni yangu, ya hao uliowataja ni yao, kila mtu na maisha yake..Nishakupa na nakwambia wewe na kundi lako la kina AMBER RUTTY mmefungiwa tu macho ,kwa huu utetezi wenu huku nakuambia kuna PENAL CODE CAP 16 Inakataza kufanya matusi kinyume na jinsia , hamuelewi, sasa Wewe, shosti wako MENINA na MWIJAKU tutawapandisha kisutu, na lazma tuwapige mvua, na wakili atakaye watetea atakuwa anatetea ushoga
Menina ndo nani? Ni msanii wa nini? Huko DSM kila MTU maarufu, sie wa vijijini hatumjui huyo
Yaah nakubal lkn kwnye mada ya huyu mtu kuna personal attacks we huzion mkuu?Wote ni wachafu....
lkn tusikubali utamaduni wa kurekodi uchafu...
watu wanatakiwa kulinda falagha zao...
I guess you get my drift...
Jamaa mshamba, typical wanaume wa Tz, Siri huwa Siri, anaevujisha SIRI ni msaliti, anafaa adhibiwe..Kama raha zake Sasa alikuwa anahangaika Nini kuzuia jamaa hasivujishe zile video wakati ni raha zake mwenyewe?Mkuu maisha ni yale yale hakuna mafupi wala marefu.Kama huyo dada huko karibu nae mwambie Maisha hayana maana saa inakuja ataomba wakati urudi nyuma na wapumbavu wenzie wote wanaofanya hiyo michezo.
Okay nmekuelewa mkuu.am not that clean, i have just explained what i saw in the picture from MWIJAKUS' page before it was deleted by instagram.
Then , how can i attack her personally while i have even never met her, or have any bussiness with her, take notSHE HAS KILLED HERSELF, NO ONE WILL HIRE HER AS MC, TPB, BIG FASHION ET AL are now on the move to terminate their contract with her,shame to us all ladies who offers their anus to men, outside marriage, sodomy is criminal offence in Tanzania, she should be chargeed of sodomy and not BASATA
Hivi Mwijaku ndio nani wakuu?
Sijawahi hata kumsikia
Huyu Menina baada ya kutuletea hii burudani ndio nimemjua
Kwahiyo kuliwa tigo mbaya kwangu ila kwako , mwijaku na menina ni sawa?Maovu yako ni mazuri ya mwenzako, shujaa wako ni jambazi kwa mwenzako..
Maisha yako hivyo, kila mtu apambane kivyake, hakuna zuri na baya,baya au zuri ni mtazamo wa muhusika..
Tafakari
Sijasema kama kuna ubaya au uzuri, kama mtu amemua mwenyewe kuutumia mwili wake vile anavyopenda,mimi sio wa ku judgeKwahiyo kuliwa tigo mbaya kwangu ila kwako , mwijaku na menina ni sawa?
Hatutaki hayo mambo kwa taarifa yako, na ukiyaleta hapa utafungiwa, eti uhuru, upi huo, ushoga?
Bado unaonyesha jinsi ulivyo "zero brain" eti mwili ni wake.Sijasema kama kuna ubaya au uzuri, kama mtu amemua mwenyewe kuutumia mwili wake vile anavyopenda,mimi sio wa ku judge
Ushoga si ushoga, kaliwa tigo hakuliwa tigo, mwili ni wake ana uhuru wa kufanya anavyotaka..
Pambana, acha Umbea, acha chuki, utapiga hatua, Maisha ni mfupi sana kufatilia ya watu, shughulikia yako Kwanza kabla hujaongea ya wenzako
.
Poa tu, huo ndio mtazamo wako, ni fikra zako, ni upeo wako..Bado unaonyesha jinsi ulivyo "zero brain" eti mwili ni wake.
Na nyie mnaosema maisha ni mafupi ndio mandondocha huko Dar, hamfanyi kazi mnasababisha seriakli kuwalisha bure tu.
unazidi kuonyesha the way u-zero brain, unahitaji kwenye sobber house, kwani amber Rutty tulimshitaki kwa kosa gani, mwili si wake?Poa tu, huo ndio mtazamo wako, ni fikra zako, ni upeo wako..
Mwili ni wake au wako wewe? Au unamuonea wivu alivyokuwa ana enjoi??
Sasa unaweka siasa kwenye hili, kama Serikali inapata hasara juu yangu kwavile sifanyi kazi, wewe imekuhusu nini??
Au unaogopa nitakuja Kukuomba?, wewe mtu wa ajabu sana..