Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

Mhh mbona watu wanatetea maovuu?
Ndiyo ujue tulipofika, yaani hii nchi inabidi magufuli awape mabalozi fimbo za mianzi wawachape wajinga kama hawa, hakuna dini hapa duniani inakubali watu kulana tigo , ila jinga moja hapa linatetea eti ni mwili wake
 
Ni Raha zake, mwili wake wewe unaumia nini? Povu la nini? Tafuta la kufanya, Maisha mafupi sana
Kama raha zake Sasa alikuwa anahangaika Nini kuzuia jamaa hasivujishe zile video wakati ni raha zake mwenyewe?Mkuu maisha ni yale yale hakuna mafupi wala marefu.Kama huyo dada huko karibu nae mwambie Maisha hayana maana saa inakuja ataomba wakati urudi nyuma na wapumbavu wenzie wote wanaofanya hiyo michezo.
 
Hivi Mwijaku ndio nani wakuu?
Sijawahi hata kumsikia
Huyu Menina baada ya kutuletea hii burudani ndio nimemjua
Ni msemaji mkuu wa maisha ya watu hapa Tz yaani anaweza zungumzia life lako hata kama hupendi
 
Nishakupa na nakwambia wewe na kundi lako la kina AMBER RUTTY mmefungiwa tu macho ,kwa huu utetezi wenu huku nakuambia kuna PENAL CODE CAP 16 Inakataza kufanya matusi kinyume na jinsia , hamuelewi, sasa Wewe, shosti wako MENINA na MWIJAKU tutawapandisha kisutu, na lazma tuwapige mvua, na wakili atakaye watetea atakuwa anatetea ushoga
Tafuta maisha, pambana na maisha yako yangu ni yangu, ya hao uliowataja ni yao, kila mtu na maisha yake..

Maisha ni mafupi, kufatilia mambo ya watu haitokusaidia chochote katika kutengeneza na kuyafanya maisha yako yawe bora..

Mimi simjui huyu dada, wala sisikilizi au kuangalia mambo Bongo movie au mambo kama hayo..

Kinachonisikitisha mimi ni watu kama nyinyi mnaopendana kuongelea na kufatilia mambo ya watu wengine

Yaani na wewe umeona umeweka uzi kwenye JF, kwa kusema watu na kuwaombea wenzako mabaya,..
 
Kama raha zake Sasa alikuwa anahangaika Nini kuzuia jamaa hasivujishe zile video wakati ni raha zake mwenyewe?Mkuu maisha ni yale yale hakuna mafupi wala marefu.Kama huyo dada huko karibu nae mwambie Maisha hayana maana saa inakuja ataomba wakati urudi nyuma na wapumbavu wenzie wote wanaofanya hiyo michezo.
Jamaa mshamba, typical wanaume wa Tz, Siri huwa Siri, anaevujisha SIRI ni msaliti, anafaa adhibiwe..

Huyu dada pale alipofanya hayo mambo na huyo BWEGE hakutegemea kama itakuja kuwa hivyo..

Bwege Raha kazifanya ziwe Karaha..raha zilikuwa zake au na wewe ulikuwepo??
 
am not that clean, i have just explained what i saw in the picture from MWIJAKUS' page before it was deleted by instagram.
Then , how can i attack her personally while i have even never met her, or have any bussiness with her, take notSHE HAS KILLED HERSELF, NO ONE WILL HIRE HER AS MC, TPB, BIG FASHION ET AL are now on the move to terminate their contract with her,shame to us all ladies who offers their anus to men, outside marriage, sodomy is criminal offence in Tanzania, she should be chargeed of sodomy and not BASATA
Okay nmekuelewa mkuu.

Uwe na siku njema
 
Maovu yako ni mazuri ya mwenzako, shujaa wako ni jambazi kwa mwenzako..

Maisha yako hivyo, kila mtu apambane kivyake, hakuna zuri na baya,baya au zuri ni mtazamo wa muhusika..

Tafakari
 
Unajua watu hua hawasikiii ila bdo tu wanajirekodi na kuvujisha sex tapes such a shame,
 
Menina full name yake ni ipi manake nimesomaga na Menina hatik kama sikosei pale DISTF Sinza tower na wanafanana sana nahisi ndo mwenyew
 
Maovu yako ni mazuri ya mwenzako, shujaa wako ni jambazi kwa mwenzako..

Maisha yako hivyo, kila mtu apambane kivyake, hakuna zuri na baya,baya au zuri ni mtazamo wa muhusika..

Tafakari
Kwahiyo kuliwa tigo mbaya kwangu ila kwako , mwijaku na menina ni sawa?
Hatutaki hayo mambo kwa taarifa yako, na ukiyaleta hapa utafungiwa, eti uhuru, upi huo, ushoga?
 
Kwahiyo kuliwa tigo mbaya kwangu ila kwako , mwijaku na menina ni sawa?
Hatutaki hayo mambo kwa taarifa yako, na ukiyaleta hapa utafungiwa, eti uhuru, upi huo, ushoga?
Sijasema kama kuna ubaya au uzuri, kama mtu amemua mwenyewe kuutumia mwili wake vile anavyopenda,mimi sio wa ku judge

Ushoga si ushoga, kaliwa tigo hakuliwa tigo, mwili ni wake ana uhuru wa kufanya anavyotaka..

Pambana na maisha yako , acha Umbea, acha chuki, utapiga hatua, Maisha ni mfupi sana kufatilia ya watu, shughulikia yako Kwanza kabla hujaongea ya wenzako
.
 
Sijasema kama kuna ubaya au uzuri, kama mtu amemua mwenyewe kuutumia mwili wake vile anavyopenda,mimi sio wa ku judge

Ushoga si ushoga, kaliwa tigo hakuliwa tigo, mwili ni wake ana uhuru wa kufanya anavyotaka..

Pambana, acha Umbea, acha chuki, utapiga hatua, Maisha ni mfupi sana kufatilia ya watu, shughulikia yako Kwanza kabla hujaongea ya wenzako
.
Bado unaonyesha jinsi ulivyo "zero brain" eti mwili ni wake.
Na nyie mnaosema maisha ni mafupi ndio mandondocha huko Dar, hamfanyi kazi mnasababisha seriakli kuwalisha bure tu.
 
Bado unaonyesha jinsi ulivyo "zero brain" eti mwili ni wake.
Na nyie mnaosema maisha ni mafupi ndio mandondocha huko Dar, hamfanyi kazi mnasababisha seriakli kuwalisha bure tu.
Poa tu, huo ndio mtazamo wako, ni fikra zako, ni upeo wako..

Mwili ni wake au wako wewe? Au unamuonea wivu alivyokuwa ana enjoi??

Sasa unaweka siasa kwenye hili, kama Serikali inapata hasara juu yangu kwavile sifanyi kazi, wewe imekuhusu nini??

Au unaogopa nitakuja Kukuomba?, wewe mtu wa ajabu sana..
 
unazidi kuonyesha the way u-zero brain, unahitaji kwenye sobber house, kwani amber Rutty tulimshitaki kwa kosa gani, mwili si wake?

Tatizo watoto wa Ushetu hamtaki shule.
 
Back
Top Bottom