Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

IMG_1060.jpg
 
View attachment 1515154
Mshana Jr, umenifurahisha Sana. Hawa bila kuuliza Wana elimu gani na ni wa wapi moja kwa moja unapata jawabu sahihi kuwa hao wajumbe Wana elimu ya darasa la Saba na wanatoka Jimbo la Kyela wanaenda kuzichinja degree nne za wakili msomi mbobevu, Daktari bingwa wa sheria, mwandishi wa kitabu pepo ya majuha, Harrison Mwakyembe
 
Wajumbe wamemtumia steve nyerere week tatu mfululizo anawalisha na kuwapa hela, kisha wakampatia kura 6 tuu...wajumbe ni nyoko

Wazee wa kupiga spana wanasheherekea mavuno baada ya miaka mi5
 

Attachments

  • 771FE34A-DC80-4FBE-B5D1-562016A0AB7F.MP4
    3 MB
Back
Top Bottom