Mr Crispin
Member
- Jul 20, 2020
- 29
- 80
Hawa kweli wakata umeme, embu mtazame vizuri wa pili kutoka kushoto.
Nacheka saana apa
Sio Roho mbaya tu pia wana mikakati ya maamuzi magumu
Wajumbe wamemtumia steve nyerere week tatu mfululizo anawalisha na kuwapa hela, kisha wakampatia kura 6 tuu...wajumbe ni nyoko
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio Kosa Lake Ni Kosa La Wajumbe, [emoji23]View attachment 1516616