Picha za wanajeshi waliouawa Jordan na drone za magaidi wa Iran

Picha za wanajeshi waliouawa Jordan na drone za magaidi wa Iran

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Hizi ndo picha za vijana wadogo waliouwawa Jordan na suicide drones za magaidi wa Iran.

Wote ni watatu ni Black Americans.

Picha za Kwanza ni Kennedy Ladon Sanders miaka 24 mwenyeji wa Jimbo la Georgia.
20240130_170241.jpg
20240130_170306.jpg
20240130_170211.jpg

Picha zingine hapa chini ni Broenna Moffets 23

20240130_170902.jpg
20240130_170937.jpg

Picha ya Tatu ni mwamba Sgt. William Jerome Rivers 46 mwenyeji wa Carolton Georgia.
20240130_171232.jpg

Walale mahali pema peponi
 
Kwa niaba ya wana JF natuma risala za rambirambi kwa wafiwa na Serikali ya marekani wakati huu mgumu wanapitia. Nawahakishia wamarekani na Israel tuko pamoja kutokomeza magaidi na ugaidi.

Unaweza kusoma zaidi kwa kiingereza kwa kubofya hiyo link hapo chini.

Nachojua vita haina macho mkiafikiana mbwaimbwai basi siyo chupi wala boxer, si ndogo wala kubwa, si nyeupe wala nyeusi ni kushambulia tu. Mnalialia mlitaka afe nani sasa? Kazi ya askari ni kufa au kuua Hongera zao wametimiza wajibu wao kwa uaminifu kabisa.
 
Nani ana haki ya kumuua binadamu mwenzake?

Je wale Hamas ama Hezbolah wanaouawa wanapewa pole na wapenda amani?

Dunia imejaa unafiki mwingi sana.

Marekani iache kusambaza vita duniani
Mzuka wanajamvi.

Hizi ndo picha za vijana wadogo waliouwawa Jordan na suicide drones za magaidi wa Iran.

Wote ni watatu ni Black Americans.

Picha za Kwanza ni Kennedy Ladon Sanders miaka 24 mwenyeji wa Jimbo la Georgia.
View attachment 2888931View attachment 2888932View attachment 2888933

Picha zingine hapa chini ni Broenna Moffets 23

View attachment 2888935View attachment 2888936

Picha ya Tatu ni mwamba Sgt. William Jerome Rivers 46 mwenyeji wa Carolton Georgia.View attachment 2888939

Nyumbu weusi wanatumikishwa 😁😁

Na wengine ombeni Uraia wa USA
 
Kweli njaa mbaya
Wamerubuniwa na kuahidiwa mishahara minono
US wanawatumia sana Blacks, wamewatenga sana na wao wakaamua kuwa majobless tu
Wanatumiwa sana kwenye majeshi
Ila nao marekani waache wizi
Kinachowaweka huko ni wizi wa mafuta tu
Yaani wanawaita watu magaidi kwenye nchi yao shenzi kabisa
Angalia wamewaingiza mkenge watoto wadogo bila kosa
Hili ni kama la vita walioifanya Iraq wakati ule na kufa vijana wengi Blacks
 
Wanajeshi watatu wa Kimarekani waliouawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za kujiua kwenye kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Jordan wametambuliwa kuwa ni Mtaalam Kennedy Ladon Sanders, mwenye umri wa miaka 24, Mtaalam Breonna Moffett, mwenye umri wa miaka 23, na Sgt. William Rivers, mwenye umri wa miaka 46.

Shambulio la ndege zisizo na rubani lilitokea Jumamosi usiku kwenye kituo kilichopo sehemu ya kaskazini-mashariki mwa nchi inayojulikana kama Tower 22 karibu na mpaka wa Syria, na kusababisha vifo vya wanajeshi watatu na kujeruhi wanajeshi wengine 34 angalau.

Wanajeshi hao walikuwa katika vyumba vyao vya kulala wakati wa shambulio na Pentagon ilithibitisha Jumatatu kuwa waathirika walikuwa labda wamelala.

Wanajeshi hao watatu walikuwa wamepangiwa kampuni ya uhandisi ya 718, kikosi cha akiba cha Jeshi la Marekani kinachopatikana Fort Moore, Georgia.

Naibu Msemaji wa Pentagon, Sabrina Singh, aliwaambia waandishi wa habari: 'Kilicho tofauti kuhusu shambulio hili ni eneo lilipotokea. Liligusa maeneo ya malazi, na nadhani ilikuwa alfajiri sana, kwa hivyo watu walikuwa wamelala kitandani wakati ndege zisizo na rubani zilipogusa.'
 
Kweli njaa mbaya
Wamerubuniwa na kuahidiwa mishahara minono
US wanawatumia sana Blacks, wamewatenga sana na wao wakaamua kuwa majobless tu
Wanatumiwa sana kwenye majeshi
Ila nao marekani waache wizi
Kinachowaweka huko ni wizi wa mafuta tu
Yaani wanawaita watu magaidi kwenye nchi yao shenzi kabisa
Angalia wamewaingiza mkenge watoto wadogo bila kosa
Hili ni kama la vita walioifanya Iraq wakati ule na kufa vijana wengi Blacks
Rudi nyumbani wewee hamna cha dual nationality
 
Back
Top Bottom