Picha za wanajeshi waliouawa Jordan na drone za magaidi wa Iran

Picha za wanajeshi waliouawa Jordan na drone za magaidi wa Iran

Kutoka marekani mpaka hapo Jordan kuna kilometa ngapi? Wamefuata nini kama si kufanya ugaidi?,, ushasikia hata siku moja muiran kaenda Mexico au Canada kuleta chokochoko kwa mmarekani? Usitumie matrako kufikiri tumia kichwa,,
Toka Us mpaka Jordan alafu unaanzisha Kambi ya jeshi ndio maana halisi ya superpower kama huelew.
 
Wamekufa kidogo sana ila hata hivyo kazi njema ingawaje wameuana wenyewe ila safi sanaaaaaaaa
 
Tulia wewee
Mmarekani ndiyo gaidi nambari moja duniani kama angekaa pembeni asiingilie affairs za nchi nyengine basi dunia ingekuwa na amani sana .

Ila kila alipo U.S basi ujue yupo kimaslahi either auze silaha au ameona kuna mali kama mafuta na madini.
 
Kutoka marekani mpaka hapo Jordan kuna kilometa ngapi? Wamefuata nini kama si kufanya ugaidi?,, ushasikia hata siku moja muiran kaenda Mexico au Canada kuleta chokochoko kwa mmarekani? Tumia kichwa
Ugaidi si nikumuuwa mtu huku unatamka yale maneno mfululizo au? Huku kichwani pia lazma uwe na the motive behind wale mabikira 72...
 
Back
Top Bottom