Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

....Silvia alipewa brand new Nissan Pick Up Hard body kutoka Kampuni ya D.T. Dobie na sio Hilux (Toyota). Mwingine aliyepata brand new car ni Angela Damas alipewa gari aina ya Suzuki Jimny toka same Company, waliobakia wote walipewa mitumba.
 
Sasa hii thread si ingefaa kule kwenye Jamii Photos. IMHO
 
Duuuuuuhhhhhhhh! Ya long time sana hii . . .
 
1995: Emily Adolph

anakesha Qbar, anaendesha maisha yake kwa biashara ya haramu ya kutoka na wanaume hasa wa kizungu kwa kulipwa pesa na pombe
 
Wenye kukumbuka majina yao anaweza kusaidia kuyaweka hapa...

Anayevikwa taji ni EMMILY ADOLPH, anayemvalisha taji ni AINA MAEDA, 1st runner up ni LILIAN MUSHI, na 2nd runner up ni ROSEMARY MLEKWA.
 
Mama Flora Kambona naye nasikia alikuwa Miss Tanganyika 1964. Yuko wapi sasa?
 
Superman kwa mapicha picha ya totoz nakuaminia. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…