Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
....Silvia alipewa brand new Nissan Pick Up Hard body kutoka Kampuni ya D.T. Dobie na sio Hilux (Toyota). Mwingine aliyepata brand new car ni Angela Damas alipewa gari aina ya Suzuki Jimny toka same Company, waliobakia wote walipewa mitumba.silivya bahame tulikuwa nae chuo,alikuwa law yeye!
-rough driving!Lol.nadhani ni mrembo pekee aliyepata gari ya maana.alipewa hilux double kibini
-ciggarate smoka!actually she was a chain smoker.uzungu mwingi.lol!wapambe wake wanasema maisha yake yote tangu anazaliwa alikuwa london
-pool-table!mama yangu.demu alikuwa master-pool
-HONESTLY SHE WAS THE SEXIEST WOMAN I HAVE EVER SEEN IN MY LIFE!maprof walimsumbua sana,wakamdisko kwa chuki zao tu.lakini akarudishwa
sijui yupo nchi gani dem huyu
