Ukiwa nazo anaonyesha Wema, zikikatika anakuwa SIwema.Vijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
Zama zimebadilika SanaIla vijana wa siku hizi noma sana.......babu zetu na bibi zetu walikuwa wanafanya kwa siri tena sa nyingne kwnye giza tororo ila siku hizi sio kwenye mwanga tu bali ata mashahidi wanahitajika kwa lazma.......wao wanawaita ndugu watazamaji au fans
Mungu anatuona hakika
Mmmh!anajitahidi aseeKawaida yake
Wakinipiga ban hapa naondoka JF sirudi tena ,kwa kosa gani hapa,? Ha keani bila jf sili,si lali sipigi mzigo?Ban Hiyo inakuja
Watakuwa walizipiga makusudi kwa lengo la kuzivujisha na wanaigiza maana inaonekana kabisa wamepigwa na mtu wa tatuKwani mwenyewe Wema alikuwa na lengo la kuzifanya siri!???
sasa hivi ataachwa sijui kwanini huwa hajifunzi nyambafu zakeKaona watu hawamuongelei Sana
ana matatizo ya kisaikolojia na bange pia zinamsumbuaJuzi katk hapa nasikia katimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa anakaa kisa anaishi na mashoga. Hivi wema jamani nae mmmmh.
Yaani nina amini kabisa kuweka hao mashoga. Kama aliweza kuwa na urafiki na kina james delicious hashindwiana matatizo ya kisaikolojia na bange pia zinamsumbua
Mpelekeeni da'Mange wajameni. Atazirusha leo hii hii.View attachment 616154
Mrembo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya akiwa bafuni na mpenzi wake aitwaye Bakari Kila.
Chanzo makini kilinyetisha kuwa, licha ya Bakari kuwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya Mombasa, nchini Kenya, bado ana ubuyu wa picha mpya za Wema wakioneshana mahaba na mpenzi wake huyo wakiwa bafuni.
“Achana na skendo ya unga inayomtafuna bwana wa Wema, sahau kabisa kuhusu zile picha zilizovuja Wema akiwa na Bakari, mimi ninazo picha nyingine mpya wakiwa bafuni.
“Yani ni full mahaba, Wema anaonekana akiwa ametinga kanga moko (moja), amemkumbatia Bakari huku akimpiga busu motomoto,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Kuna moja Wema anambusu Bakari shavuni lakini kuna nyingine anambusu mdomoni kabisa kama njiwa vile tena wakiwa kwenye hisia kali za kimalovee. Madam hana habari tena yeye inaonesha ndiye aliyekuwa anapiga picha.”
Bakari anatajwa kuwa na mkwanja mrefu kiasi cha kumtuliza Wema hadi akaacha ‘makeke’ ya mjini, kabla jamaa huyo hajataitiwa kwa madawa ya kulevya nchini Kenya.
mpuuzi sana ummri haurudi nyuma atajajutia sanaYaani nina amini kabisa kuweka hao mashoga. Kama aliweza kuwa na urafiki na kina james delicious hashindwi