Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Ila vijana wa siku hizi noma sana.......babu zetu na bibi zetu walikuwa wanafanya kwa siri tena sa nyingne kwnye giza tororo ila siku hizi sio kwenye mwanga tu bali ata mashahidi wanahitajika kwa lazma.......wao wanawaita ndugu watazamaji au fans

Mungu anatuona hakika
 
Ila vijana wa siku hizi noma sana.......babu zetu na bibi zetu walikuwa wanafanya kwa siri tena sa nyingne kwnye giza tororo ila siku hizi sio kwenye mwanga tu bali ata mashahidi wanahitajika kwa lazma.......wao wanawaita ndugu watazamaji au fans

Mungu anatuona hakika
Zama zimebadilika Sana
 
Hivi Wema hawezi kutulia japo mwakamoja bila skendo? Hili la Lulu ilibidi limpate yeye,hakui ,hajifunzi,kla siku ni usenge usenge tuuu,,,aarrrghhuh
 
Juzi katk hapa nasikia katimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa anakaa kisa anaishi na mashoga. Hivi wema jamani nae mmmmh.
 
View attachment 616154
Mrembo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya akiwa bafuni na mpenzi wake aitwaye Bakari Kila.

Chanzo makini kilinyetisha kuwa, licha ya Bakari kuwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya Mombasa, nchini Kenya, bado ana ubuyu wa picha mpya za Wema wakioneshana mahaba na mpenzi wake huyo wakiwa bafuni.

“Achana na skendo ya unga inayomtafuna bwana wa Wema, sahau kabisa kuhusu zile picha zilizovuja Wema akiwa na Bakari, mimi ninazo picha nyingine mpya wakiwa bafuni.

“Yani ni full mahaba, Wema anaonekana akiwa ametinga kanga moko (moja), amemkumbatia Bakari huku akimpiga busu motomoto,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:

“Kuna moja Wema anambusu Bakari shavuni lakini kuna nyingine anambusu mdomoni kabisa kama njiwa vile tena wakiwa kwenye hisia kali za kimalovee. Madam hana habari tena yeye inaonesha ndiye aliyekuwa anapiga picha.”

Bakari anatajwa kuwa na mkwanja mrefu kiasi cha kumtuliza Wema hadi akaacha ‘makeke’ ya mjini, kabla jamaa huyo hajataitiwa kwa madawa ya kulevya nchini Kenya.
Mpelekeeni da'Mange wajameni. Atazirusha leo hii hii.
 
Back
Top Bottom