Wema na wanaume!
Dah nataman niwazabe makofi basi tu sijabahatika kukutana naoVijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
Kama kawaida take mpenda ngoziKumekucha tena...aiseeh
Wapi tena BAK?nilikuwa namsalimu ukhuty tuNini pale Carba?
Hivi picha huwa zinavuja vipi naomba kuelimishwa maana wote hapa tuna simu na zina picha tusifanyane matahaira.
Atakuwa na mganga mzuri. Maana vijana wengi wanakuambia wakipata hela lazima wamfate madamVijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
Wapi tena BAK?nilikuwa namsalimu ukhuty tu
Milly sio wa kumuamini, alishasema wema yupo kwao mara ana mimba! Hapanq simuamini milly[emoji3]Juzi katk hapa nasikia katimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa anakaa kisa anaishi na mashoga. Hivi wema jamani nae mmmmh.
Jamani[emoji134][emoji134]Okay lakini hizo emoji mhhh! Mie yangu macho tu. Ushungi umekupendeza ππ
Hili naaminiIla hiz za kurudiana na Diamond zinaweza kuwa na ka ukweli