Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Kwa takribani miaka yote amekuwa akitamani sana ndoa lakini waoaji wamekuwa wachache..amebaki kutumika tu na baadaye wanam-dump dah maisha haya...enyi wanawake kipindi mpo katika kushine msiwadharau wanaume wenye nia nzuri na nyie kwa nadharia kwamba mnakula ujana..angalieni msijejuta kama anavyojuta le madam wetu wa bongo!
 
Picha za 2017 zina mbawa Mkuu huruka kama njiwa ili wanadamu tuzione.

Hivi picha huwa zinavuja vipi naomba kuelimishwa maana wote hapa tuna simu na zina picha tusifanyane matahaira.
 
Milly sio wa kumuamini, alishasema wema yupo kwao mara ana mimba! Hapanq simuamini milly[emoji3]
Ila hiz za kurudiana na Diamond zinaweza kuwa na ka ukweli
 
Back
Top Bottom