Hivi kumbe yule ni waziri! Nimeona clip ila nikajua ni mtu baki, mawaziri wa awamu hii balaa,Waziri ametushauri tule BATA,Hongera sana Zama endelea kula bATA,ukijenga kila siku utalia njaa.
Hivi marioo anaweza kuweka neno? Mbona humshangai dogo janja! Unajua siku hizi wanawake ni wajanja wanatafuta viBen10 au marioo ili waendelee kuvinjari na midume. Inawezekana viben10 vikiwa vinaambulia tu kunyonyaSikaolewa huyu inamaana jamaa anaruhusu ukaribu huo?
Unamjua Gudume au ukimsoma humu unadhani fala mmoja kama wengine shaurilo[emoji23]GuDume ni mtu wa story mingi, hana uwezo wa kumpa mtoto good time kama hiyo, labda ingekuwa around hapa hapa bongo sio kwa trump.
hahahaha gwa mbeguLabda wakina Gudume
Cdhan km n swala LA bahati .. ..n swala LA self awareness & smartness.... ,mwanamke yeyote ambaye anajitambua ..na kichwan n smart lazima awe na maisha mazuri... Haijalishi n mzuri au mbaya...cidhan km n bahatiLilia bahati usililie uzuri.
Labda wakina Gudume
Jomonii[emoji22]Anaakili sana kaona jamaa lifespan yake inahesabika akala kona
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.Waziri ametushauri tule BATA,Hongera sana Zama endelea kula bATA,ukijenga kila siku utalia njaa.