Picha : Zamaradi akila Bata USA

Picha : Zamaradi akila Bata USA

Anaharibu vijana wetu, ale bata ila asiweke mitandaoni. Watu vyuma vimekaza ye anakula bata
 
SA HAPO ANAKULAJE BATA?? YAWEZEKANA KASHUKA KWENYE TEX AKAPIGA PICHA HOTELINI (MAANA HAKUNA HATA BEGI KWENYE HIZO TROY ALIZOEGEMEA)
 
Mkuu kama una dada yako smart kichwani niunganishe naye aje akutumie picha akitembea duniani sehemu mbalimbali....

GuDume ni mtu wa story mingi, hana uwezo wa kumpa mtoto good time kama hiyo, labda ingekuwa around hapa hapa bongo sio kwa trump.
 
Waziri ametushauri tule BATA,Hongera sana Zama endelea kula bATA,ukijenga kila siku utalia njaa.
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.

Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.
 
Sijui kwanini simpendagi huyu dada...

Its all on me being a hateful bad person...

Ila I do not trust her at all.......such a pretender!
 
Back
Top Bottom