Picha : Zamaradi akila Bata USA

Picha : Zamaradi akila Bata USA

Hivi USA kuna Bata? Huu ni ushamba sana ,tunajiaibisha sana.
 
Sasa hvyo vitoroli hapo nyuma ndo vya kupigia misele humo mjengoni au ni nn?
 
Cdhan km n swala LA bahati .. ..n swala LA self awareness & smartness.... ,mwanamke yeyote ambaye anajitambua ..na kichwan n smart lazima awe na maisha mazuri... Haijalishi n mzuri au mbaya...cidhan km n bahati

Kabisa , zamaradi anajielewa , hata akiongea tu unajua hapa kuna mtu , sio shoga yetu Irene akianza kuongea, hadi utatamani kutapika

Wasichana waache kuwekeza kwenye muonekano wa nje tu , Bali akili pia wawekeze, hakuna mwanaume wa maana atapenda kujihusisha na mapoyoyo , ona akina ntuyabaliwe au jokate
 
Hii nayo ni habari? USA kwani ni nje ya ulimwengu huu? Marekani kwa kawaida sana mbona.. hivi kuna watu bado wanaishobokea USA kihivi dah labda uwe hujawahi kusafiri nje ya bongo. Eti anakula bata hahahhh dunia Hii buaaana
 
Waswahili bana...mtu kusafiri kwenda USA kwake anakula bata???..... kweli Mwl Nyerere alitufungia tz tumechelewa mno kupata exposure na umasikini ulitujaa mpaka kwenye kope

Mwenzenu anaenda vacation sio kufanya kazi za kubeba mabox ... And yes anakula bata , uache wivu
 
Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri , na kama ulikua hujui , Ana push your dream car , BMW X6, na Ana biashara zake kadhaa hapa mjini .

Ila mwenzangu najiulizaga, jeuri ya pesa anapata wapi? Ni WASAFI alikoajiriwa au mumewe ? , maana cheusi mangala pesa anazo na hakanaga majivuno, au ndo baba watoto wake bado anahudumia?

Ila zamaradi Ana akili bwana , akitembezi kwa wanaume wa hovyo , Hana muonekano mzuri kihivyo Ila kichwani yupo smart sana tofauti na mastaa wenzie, na ndio maana nadhani Ana hang out na wanaume wa maanaView attachment 893840
Hivi kumbe ukiwa mtangazaji tayari ni [emoji93]???
 
Ingekuwa kila ukifika US ndio kula bata basi wengine tumemaliza mabanda ya kufugia bata.

Tatizo nyie mnaenda kubeba mabox , mwenzenu ako vacation , upo nyonyo, lazima ujue kutofautisha
 
Back
Top Bottom