Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ndio G huyo [emoji6][emoji6][emoji6]Unamjua Gudume au ukimsoma humu unadhani fala mmoja kama wengine shaurilo[emoji23]
Hapo ni mang'ana mkuu. Ugonjwa ni ugonjwa hata kama anaumwa prostate au renal failure hata mgongo kuumwa ni ugonjwa tu. Tumuombee apone ili akalitumikie taifaaisee jamaa ugonjwa gani unamsumbua?
Akikujibu nitagwe una hangout na wanaume wa aina gani?
Kamuharibia kivipi?Ruge kamharibia life huyu demu.
Ukioa mwanamke mwenye mtoto mime wake anakuwa yule aliyezaa naye mtoto mkubwaAcheni majungu
Cdhan km n swala LA bahati .. ..n swala LA self awareness & smartness.... ,mwanamke yeyote ambaye anajitambua ..na kichwan n smart lazima awe na maisha mazuri... Haijalishi n mzuri au mbaya...cidhan km n bahati
Waswahili bana...mtu kusafiri kwenda USA kwake anakula bata???..... kweli Mwl Nyerere alitufungia tz tumechelewa mno kupata exposure na umasikini ulitujaa mpaka kwenye kope
Hivi kumbe ukiwa mtangazaji tayari ni [emoji93]???Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri , na kama ulikua hujui , Ana push your dream car , BMW X6, na Ana biashara zake kadhaa hapa mjini .
Ila mwenzangu najiulizaga, jeuri ya pesa anapata wapi? Ni WASAFI alikoajiriwa au mumewe ? , maana cheusi mangala pesa anazo na hakanaga majivuno, au ndo baba watoto wake bado anahudumia?
Ila zamaradi Ana akili bwana , akitembezi kwa wanaume wa hovyo , Hana muonekano mzuri kihivyo Ila kichwani yupo smart sana tofauti na mastaa wenzie, na ndio maana nadhani Ana hang out na wanaume wa maanaView attachment 893840