ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sina wivu dada....just a fair comment..Mwenzenu anaenda vacation sio kufanya kazi za kubeba mabox ... And yes anakula bata , uache wivu
Tatizo nyie mnaenda kubeba mabox , mwenzenu ako vacation , upo nyonyo, lazima ujue kutofautisha
Inategemea umebeba mabox ya nini na vacation gani, unaweza ukaenda vacation ukarudi masikini na ukaenda kubeba box ukarudi tajiri. Na mbeba box hana mipaka ya kula bata kama ilivyo kwa mzurulaji .Tatizo nyie mnaenda kubeba mabox , mwenzenu ako vacation , upo nyonyo, lazima ujue kutofautisha
😬😬😬Labda wakina Gudume
Kama akina Millard Ayo na Kitenge, watakuwa wamemaliza mabata yoote...Ingekuwa kila ukifika US ndio kula bata basi wengine tumemaliza mabanda ya kufugia bata.
Hii nayo ni habari? USA kwani ni nje ya ulimwengu huu? Marekani kwa kawaida sana mbona.. hivi kuna watu bado wanaishobokea USA kihivi dah labda uwe hujawahi kusafiri nje ya bongo. Eti anakula bata hahahhh dunia Hii buaaana
hahaa .. kwamba ARV.vimeshaanza ku stuck au ""?_Anaakili sana kaona jamaa lifespan yake inahesabika akala kona
hahaa sureUngesema anakula upepo[emoji23]
hahaaaWaswahili bana...mtu kusafiri kwenda USA kwake anakula bata???..... kweli Mwl Nyerere alitufungia tz tumechelewa mno kupata exposure na umasikini ulitujaa mpaka kwenye kope
hahaa mwehu sana yule " alikuwa anawajaza wenzie upepoYaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.
Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.
Khan wewe si umeoa juzi?Mkuu kama una dada yako smart kichwani niunganishe naye aje akutumie picha akitembea duniani sehemu mbalimbali....