Picha : Zamaradi akila Bata USA

Picha : Zamaradi akila Bata USA

Mwenzenu anaenda vacation sio kufanya kazi za kubeba mabox ... And yes anakula bata , uache wivu
Sina wivu dada....just a fair comment..
hapa nilipo neno wivu halipo kwenye vokabulari yangu...I belong to "affluent society"
 
Tatizo nyie mnaenda kubeba mabox , mwenzenu ako vacation , upo nyonyo, lazima ujue kutofautisha
Inategemea umebeba mabox ya nini na vacation gani, unaweza ukaenda vacation ukarudi masikini na ukaenda kubeba box ukarudi tajiri. Na mbeba box hana mipaka ya kula bata kama ilivyo kwa mzurulaji .
 
Kama wewe ni ke.. na una masantojo. basi dunia nzima mafisi watakupeleka!.. ukale hizo bata..
 
Hii nayo ni habari? USA kwani ni nje ya ulimwengu huu? Marekani kwa kawaida sana mbona.. hivi kuna watu bado wanaishobokea USA kihivi dah labda uwe hujawahi kusafiri nje ya bongo. Eti anakula bata hahahhh dunia Hii buaaana

Tatizo nyie mnaenda kufanya u housegurl , hyo ndo tofauti yenu na wenye Pesa zao
 
Kama akina Millard Ayo na Kitenge, watakuwa wamemaliza mabata yoote...

Wale wanaenda kikazi nyonyo na wanalipiwa hawana uwezo huo , wengine wanaenda tu kununua spinach na shopping , upo nyonyo , ndo ujue kutofautosha
 
bata ana kula wapi sasa hapo wakati. mtu kasimama tu
 
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.

Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.
hahaa mwehu sana yule " alikuwa anawajaza wenzie upepo
 
Back
Top Bottom