warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri , na kama ulikua hujui , Ana push your dream car , BMW X6, na Ana biashara zake kadhaa hapa mjini .
Ila mwenzangu najiulizaga, jeuri ya pesa anapata wapi? Ni WASAFI alikoajiriwa au mumewe ? , maana cheusi mangala pesa anazo na hakanaga majivuno, au ndo baba watoto wake bado anahudumia?
Ila zamaradi Ana akili bwana , akitembezi kwa wanaume wa hovyo , Hana muonekano mzuri kihivyo Ila kichwani yupo smart sana tofauti na mastaa wenzie, na ndio maana nadhani Ana hang out na wanaume wa maana