Picha: Zari aanika mimba yake hadharani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda, mwenye tittle ya u bosslady EA, ambaye pia ni muke mtarajiwa wa mwanamuziki diamond platnums, zarinah hassan aka zari, kwa mara nyingine ame make headline kwenye mitandao ya kijamii baada ya ivi karibuni ku post picha ya tumbo lake akiwa mjamzito.

Staa huyo alifikia hatua hiyo baada ya tetesi kuvuma kwa muda mrefu kuwa mrembo huyo machachari na mwenye swaga za aina yake, kuwa hana ujauzito kama anavyojitangaza bali ni njama tu za kujiongezea umaarufu.

Baadhi ya mashabiki zake wameponda uamuzi wa staa huyo na kumwambia alichokifanya ni uswahili kwani hiyo sio mimba yake ya kwanza.

 

Attachments

  • 1428389417598.jpg
    60 KB · Views: 5,367
Jaamni si atulie tu mbn mashabiki wanampelekesha ivyo...hawajui watanzania huyu awaendekeze mwisho watataka na video anayojifungua

Kwi kwi kwiiii picha ya kujifungua lol
 
Jaamni si atulie tu mbn mashabiki wanampelekesha ivyo...hawajui watanzania huyu awaendekeze mwisho watataka na video anayojifungua

Duu. Full utomaso. Kwi kwi kwi..
 
Hiyo fake kama ni mjamzito SIKU ya kujifunga arekodi video ili tuamin hajanunua mtoto kwikwi.....
 
mmmhhhhhh@warumi shamsa anatoka na ney ddaaahh mbona kajishusha sana
 
Huyu Zari naye anataka kunikera sasa.Mimi nampendaga sababu namuona ana mambo ya kizungu sasa huu uswahili anaouanza aache mara moja.Hadhi yake ni kubwa hayo mambo awaachie kina Mange anayetuonesha kila kitu hadi first date yake.. lol
Awe kama shoga yake sinta hakuna anayejua mambo yake ya uzazi.
 
Hivi warumi na umbea wako wote umeshindwa hata kutupatia kapicha hata ka mtoto mmoja wa sintah?Looh!
 
Last edited by a moderator:
Hivi warumi na umbea wako wote umeshindwa hata kutupatia kapicha hata ka mtoto mmoja wa sintah?Looh!

Sintah ana mtoto mzuri sana, si unamuona mama yake alivyo? Nasikia yupo uganda kwa baba yake, nikipata picha ntawatumia wapendwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…