warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda, mwenye tittle ya u bosslady EA, ambaye pia ni muke mtarajiwa wa mwanamuziki diamond platnums, zarinah hassan aka zari, kwa mara nyingine ame make headline kwenye mitandao ya kijamii baada ya ivi karibuni ku post picha ya tumbo lake akiwa mjamzito.
Staa huyo alifikia hatua hiyo baada ya tetesi kuvuma kwa muda mrefu kuwa mrembo huyo machachari na mwenye swaga za aina yake, kuwa hana ujauzito kama anavyojitangaza bali ni njama tu za kujiongezea umaarufu.
Baadhi ya mashabiki zake wameponda uamuzi wa staa huyo na kumwambia alichokifanya ni uswahili kwani hiyo sio mimba yake ya kwanza.