Picha: Zari, Diamond wakiwa UK

Picha: Zari, Diamond wakiwa UK

Hata Ally K alishaenda sana Mbagala sema tu hapendi Show offu..
 
Huo mda wa kufatilia maisha ya watu unaupata wapi? We tafta wako uende nae USA
 
Zari mguu moja mrefu mmoja mfupi, kama mnabisha tumeni picha akiwa amesimama straight
asilimia kubwa ya watu miguu yao hupishana urefu kidogo labda kama yake imezidi
 
Back
Top Bottom