Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hapo chachaUlikuwa huoni akionyesha ile desk top yake ya apple
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo chachaUlikuwa huoni akionyesha ile desk top yake ya apple
Hebu nitafutie nasubiria...coz sjawahi zionaBasi tu leo nna bando la mawazo ningeenda instagram nkuletee picha hapa, Ivan kadanja May, ningekuonesha picha zari akipost office before hiyo May, ila nnavopenda umbea ntakutafutia tu niwaite.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asa mtu umejilipia nauli ili urushe mtu roho domo akatae sasa
mkuu utauaPresha inapanda, presha inashuka
Wiki kadhaaa nyuma, tena kuna mtu akaweka uli log in kipindi cha nyuma sana..vipi swalama huko?Aaaj, lini hyo binamu? Wengine naona walisema nimekufa, lol, I'm back
Doh! Bonge la jibu aiseeMbona alikua anaonesha au hukua na smartphone?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kifala sanaAnzisha thread mkuu tujadili...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muna majibu aiseeMbona hata Wewe tako lako moja nene na lingine pasi tupu? Kama unabisha hebu jiangalie sasa hivi hapo katika Kioo chako.