mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Mimi ni Madame Rita aisee! Huyu dada ananivutia sana hasa macho yake. Zari anazidisha make-up.
Hazidishi make-up ukiona youtube wanaofundisha kupaka makeup basi utakimbia maana ni sio mchezo
Rangi yake inamtoa vizuri...kuna watu wakizidisha utaona tu wamezidisha...
Hiyo ya pili akiwa baharini...mwanga wa jua huo ndio usemaga mambo yalivyo pia....