Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

Mimi ni Madame Rita aisee! Huyu dada ananivutia sana hasa macho yake. Zari anazidisha make-up.

Hazidishi make-up ukiona youtube wanaofundisha kupaka makeup basi utakimbia maana ni sio mchezo

Rangi yake inamtoa vizuri...kuna watu wakizidisha utaona tu wamezidisha...

Hiyo ya pili akiwa baharini...mwanga wa jua huo ndio usemaga mambo yalivyo pia....
 

Attachments

  • 1430758206157.jpg
    1430758206157.jpg
    45 KB · Views: 1,437
  • 1430758222546.jpg
    1430758222546.jpg
    16.5 KB · Views: 1,434
Afu Rita ni ana confo la kutosha...nshakutana nae sehemu sehemu...yani si wale wa kuuza sura...allikuwa ana interact na watu wenye CV zao...hajirudishi nyuma...na hiyo kibongo bongo ni wachache walio kwenye fani za sanaa wanaweza....

Na ndipo nilipojua kuwa ni mzuri kuliko anavyoonekana kwenye picha...
(kuna watu picha zinawaongezea marks...huyu dada ni the opposite...uzuri wake wa live ni zaidi ya wa picha)

Yes mkuu, kuna baadhi ya watu ni photogenic kwenye picha wanaonekana fresh kuliko live, wengine vice versa
 
Hawa ndio watu wa kuwafananisha sio wanafananisha maiti na mtu aliye hai mxiuuu

Bora hata hii comparison inaendana kabisa kwa Wema hapana ana safari ngumu kufika level za hawa mana wana class flani hivi.
 
Ana komwe flani hivi hujawahi kumuona akibana ki Kim kardashian au kubana kwa nyuma anakua ka ana upara flani hivi akinyoa ka madame Ritta hamkamati hata chembe bora ma weaving ndo yanamfanya aonekane vizuri.

Komwe analo si hata wema analo ,,,,,hivi akinyoa kama madam r itakuwaje hhhhhahaaa
 
Komwe analo si hata wema analo ,,,,,hivi akinyoa kama madam r itakuwaje hhhhhahaaa

Asijaribu kunyoa hivo aisee na hivi ana uso wa raundi ni shidaaaaa pcha haiji kabisa akinyoa. Unaona Wema alivonyoa alivotisha nywele zina sitiri wanawake wengi aiseee.
 
Asijaribu kunyoa hivo aisee na hivi ana uso wa raundi ni shidaaaaa pcha haiji kabisa akinyoa. Unaona Wema alivonyoa alivotisha nywele zina sitiri wanawake wengi aiseee.

Hhhhaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom