Picha: Zari, Vera Sidika wakutana Live baada ya bifu la muda mrefu

Picha: Zari, Vera Sidika wakutana Live baada ya bifu la muda mrefu

Vera ana umbo no. 9

Miguu kama ya wema...miguu ya shida shida

huwezi kumlinganisha na zari miguu imejaa vizuri kama ya wazungu wengi, miguu ya afya afya

Ila wote wazuri wa sura na shape

Wabillah Tawfiq
Zari miguu ya wazungu,wakati wazungu wakiwa na miguu minene wanaona aibuuuu
 
images.jpg
images.jpg

Hiyo mijanamke ni miuza K iliokubuhu..nashangaa mabinti wadogo wanapenda kufuatilia maisha yao..Hakuna mzuri hapo yamejichubua na kujitengeneza upya..Vera anaogopa kuzaana Zari watoto wanafanana na Zari wa zamani
 
Baada ya kuliwa na mondi wote wameachwa wameona hajaa ya kugombana
 
Wazungu wakiwa na miguu minene wanaonaje aibu kwanini? Kama mzungu yupi?

And if so, inamaana ni wazungu karibu wote wanaona aibu kwakuwa karibu wote wana miguu minene.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Hawana miguu kama ya zari mguu wa zari ni matende,wazungu pia wanapenda miguu kama ya kina hamisa ndio mizurii
 
Back
Top Bottom