Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaone wakiamka asubuhi bila kujipiga make ups hpo ndy tutajua Uzuri waoTumefurahi kuona East African beauties pamoja ingawa amekosekana Wema Sepetu kutuwakilisha Tanzania.
Wote wamejipiga mkono mmojawadada wa kujiedit na kujitupiaaa. Nasikia Vera alikuaga mweusi tii
Hivi tuerny huwa ana kazi gani maskini? Au mtaji trako? Tangu enzi huwa namuona instagram akionesha tako tu anajibinua hadi nlikua nahisi ni mlemavu.Huyo kwenye uzuri hayumo tena labda mrembo tuerny.
Hivi tuerny huwa ana kazi gani maskini? Au mtaji trako? Tangu enzi huwa namuona instagram akionesha tako tu anajibinua hadi nlikua nahisi ni mlemavu.
Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja View attachment 776577baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini
kweli zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowoHahahahaha lol! Mie hata sijui. Ila kule Insta wanaobinua tako wengine wamefaidika sana na maisha yao yamebadilika kabisa.
K tu hamna loloteMasista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja View attachment 776577baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini
kweli zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
Hakuna surgery kutengeneza mguu wa bia lolVera ana umbo no. 9
Miguu kama ya wema...miguu ya shida shida
huwezi kumlinganisha na zari miguu imejaa vizuri kama ya wazungu wengi, miguu ya afya afya
Ila wote wazuri wa sura na shape
Wabillah Tawfiq
Yani uuze nyumba kwa hao mashankupe?! Umetokea kolomije nini mkuuShape yake unaweza uza hata nyumba
Acha wivu mtoto wa kike ww. Zari ana miguu mizuri sema hanaMatende eti miguu mizuri nikojoooe mie
sijasikia binamu duuuh hivi hawakomi tu huko China au kakamatwa na ishu nyingine?Umesikia umbea mati kakamatwa china