Picha: Zari, Vera Sidika wakutana Live baada ya bifu la muda mrefu

Nasitikika kuwa wote washa zeeka kweli jana siyo leo
 
Vera 0713 inamlipa sana... Kuna jamaa mmoja alimpiga 0713 siku 3 mfululizo na kumpa $ ila sbb ilikuwa ni mteja wa siku nyingi akampa hela ya mboga sio kivilee.. Nairobi kutamu sometimes
 
Tatizo wote inaonekana wana nywele vipilipili maana wana miwigi
 
wadada wa kujiedit na kujitupiaaa. Nasikia Vera alikuaga mweusi tii
 
Vera alisema ana kibendi mbona sikioni au kishakichomoa asiharibu shape.

Binamu mbona vera na zari zinaiva tu waligombana lini tena
 
Vera alisema ana kibendi mbona sikioni au kishakichomoa asiharibu shape.

Binamu mbona vera na zari zinaiva tu waligombana lini tena

Kipindi kile hamisa na vera kurushiana maneno, vera aliingizwa kuwa alikua anajipendekeza kwa hamisa
 
Vera ana umbo no. 9

Miguu kama ya wema...miguu ya shida shida

huwezi kumlinganisha na zari miguu imejaa vizuri kama ya wazungu wengi, miguu ya afya afya

Ila wote wazuri wa sura na shape

Wabillah Tawfiq
Hakuna surgery kutengeneza mguu wa bia lol
Google vera before surgery afu ndo uje useme ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…