Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
oooh okay, mmh sa Vera ndo ajipendekeze kwa Hamisa tehKipindi kile hamisa na vera kurushiana maneno, vera aliingizwa kuwa alikua anajipendekeza kwa hamisa
si unajua mtoto wa kimombasa yuleVera 0713 inamlipa sana... Kuna jamaa mmoja alimpiga 0713 siku 3 mfululizo na kumpa $ ila sbb ilikuwa ni mteja wa siku nyingi akampa hela ya mboga sio kivilee.. Nairobi kutamu sometimes
wakaribishwaNialike tikawatengeneze na vumbi
Ni sugu. Only vumbi wa fedha will do it.Nialike tikawatengeneze na vumbi
Tumefurahi kuona East African beauties pamoja ingawa amekosekana Wema Sepetu kutuwakilisha Tanzania.
Jack alikamatwa Hong Kong kule hawana sheria ya kunyonga!sijasikia binamu duuuh hivi hawakomi tu huko China au kakamatwa na ishu nyingine?
Hivi Jack yupo kweli au wachina washamnyonga?
sijasikia binamu duuuh hivi hawakomi tu huko China au kakamatwa na ishu nyingine?
Hivi Jack yupo kweli au wachina washamnyonga?
Ha ha ha ha kumbe ni udangaji nikajua upundaAlikua anadanga akamuibia mwanaume kadi nasikia ilikua na mahela kibao, walivyokua wajinga wakaenda kufanya shopping wakakamatwa
Vera ana umbo no. 9
Miguu kama ya wema...miguu ya shida shida
huwezi kumlinganisha na zari miguu imejaa vizuri kama ya wazungu wengi, miguu ya afya afya
Ila wote wazuri wa sura na shape
Wabillah Tawfiq
Shape yake unaweza uza hata nyumba
Hii inanikumbusha kuna kipindi nilikuwa nikipiga mitungi,shabiki wa Akudo impact.Nilikwenda msasani siku hiyo.Mpenzi alinisindikiza akaondoka na gari kurudi home.Jinsi nilivyokuwa mitungi wale wanenguaji baada ya mziki kwisha wakanizonga twende jacaranda pale opposite na Mango garden.Nikawa naenda kutoa hela kwenye ATM ya pale Akiba commercial,wanaita umoja switch.Kumbe ile midemu inanisindikiza na ikakariri password ya kadi.Jinsi mambo yalivyokuwa yanakwenda nilisinzia wakanichapa ile kadi.Wakaenda kutoa laki 9 usiku ule.Baadae kuzinduka nikachukua tax kurudi home.Asubuhi naitafuta kadi haionekani.Nikaenda kwenye bank ,Access bank makumbusho.Nikaenda dirishani kuuliza balance sikuamini macho yangu nilipigwa.Nikawaomba wanipe statement wakaonyesha jinsi hela zilivyotolewa ,hayo masaa ya alfajiri sio Mimi niliyotoa ikawa ni kesi .Nikawaomba wanieonyeshe ATM gani hizo hela zilitolewa wakagoma wakasema niende na RB ya polisi pamoja na mpelelezi wa kesi yangu .Nikaenda kufungua kesi polisi mabatini,nikaenda na mpelelezi pale .Wakatrace wakaona pesa zilitolewa Banki ya Posta,Milenium Tower.Baadae tukapatiwa picha za CCTV camera,zikaonyesha wale mastage show wa akudo wakitoa pesa mmoja anatoa,mwingine Yuki nyuma yake.Ikawa ni kazi ya kuwafukuzia kule wanapoishi na kwenye show zao.Baada ya siku 2 tukawakamata pale bar ya miti mirefu ,sayansi wakapelekwa mabatini polisi.Akaitwa msimamizi wa band ,mzee mmoja alikuwa lecturer wa chuo kikuu anaitwa mkandara,aliachiwa hiyo band na kapuya.Uzuri yule mzee ni mstarabu,baada ya kuonyeshwa ushahidi wa CCTV camera akakubali kunilipa pesa zangu.Nikafuta kesi.Alikua anadanga akamuibia mwanaume kadi nasikia ilikua na mahela kibao, walivyokua wajinga wakaenda kufanya shopping wakakamatwa
Tumefurahi kuona East African beauties pamoja ingawa amekosekana Wema Sepetu kutuwakilisha Tanzania.
Vera 0713 inamlipa sana... Kuna jamaa mmoja alimpiga 0713 siku 3 mfululizo na kumpa $ ila sbb ilikuwa ni mteja wa siku nyingi akampa hela ya mboga sio kivilee.. Nairobi kutamu sometimes
CORAZON KWAMBOKA my ride [emoji57]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] aiseehh!kua uyaoneyani we acha tu, kuna muarabu mmoja alimpa fedha nyingi sana akalalanae wiki nzima dubai. akila 0713 tu.