Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu

Watu ni intelligent

Hali ya watu kuwa intelligent ni intelligence.

"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligent tu" ni sawa.

"Picha zifuatazo ni kwa watu wenye intelligence tu" ni sawa.

"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu" si sawa.

Lugha za watu hizi jamani.
 
Sawa ila na hope auwezi elezea picha zote apo umejaa kupinga tu mkuu

Siku criticize naku approach....
 
Kiranga nakuaminia hujawahi kuzamisha jahazi katika ulimi wa Malkia... kwa Mungu Muumba tu ndo unazingua!!!

Halafu nikupe nyongeza tu... Jina lako "KIRANGA" kwa kabila la kwetu ni KIHEREHERE[emoji38][emoji16]
 
Mi mwenyewe nimeshangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…