Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Kiranga nakuaminia hujawahi kuzamisha jahazi katika ulimi wa Malkia... kwa Mungu Muumba tu ndo unazingua!!!Watu ni intelligent
Hali ya watu kuwa intelligent ni intelligence.
"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligent tu" ni sawa.
"Picha zifuatazo ni kwa watu wenye intelligence tu" ni sawa.
"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu" si sawa.
Lugha za watu hizi jamani.
Halafu nikupe nyongeza tu... Jina lako "KIRANGA" kwa kabila la kwetu ni KIHEREHERE[emoji38][emoji16]