smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Una asili ya kauchoyo fulani hivi ka kuficha! ficha intelligency yako, watu km nyinyi mpo wengi . hamko direct, kwanza mleta Mada amepoteza maksudi!!! mfano hapa una kitu hutaki kukiweka wazi kwa wasomaji wa rika zote wakielewe na wajifunze.Watu ni intelligent
Hali ya watu kuwa intelligent ni intelligence.
"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligent tu" ni sawa.
"Picha zifuatazo ni kwa watu wenye intelligence tu" ni sawa.
"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu" si sawa.
Lugha za watu hizi jamani.
Lkn kuna mwanaJF mmoja hapo juu kaweka wazi vizuri sana! ndiyo niliwahi sema ukiona umesimama ,angalia usianguke Dunia hii ni ndogo sana!
Najua Utasema Shetani yupo na Mungu hayupo! sababu hujawahi kumuona.