Picha zikionesha mamia ya mifuko ya watu waliouliwa na Serikali ya Iran inayoongzwa na Ayatollah

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Picha zikionyesha mamia ya mifuko myeusi ya maiti ikiwa imepangwa ndani na nje ya Kituo cha Uchunguzi wa Kimatibabu cha Kahrizak, mojawapo ya mochari kubwa pembezoni mwa jiji la Tehran

Vyombo vya habari vya kimataifa vimedhibitisha uhalisia wa picha hizo

Shirika la Human Rights Activists News Agency lenye makao yake Marekani linasema zaidi ya waandamanaji 2,500 wameuawa. Vyanzo vingine vimetaja idadi inayofikia 12,000 ndani ya usiku miwili tu mwanzoni mwa Januari. Gazeti la The New York Times, baada ya kuhakiki video na ushuhuda wa mashahidi, limeripoti hofu kuwa hadi watu 3,000 huenda waliuawa.

Shirika la Iran Human Rights lenye makao yake Norway limethibitisha vifo 648 ikiwemo watoto, likionya kuwa idadi halisi inaweza kuzidi 6,000.

Screenshot_20260114-094504.jpg
20260114_094427.jpg

================ For English Audience ================
​
Images showing hundreds of black body bags lined up inside and outside the Kahrizak Forensic Medical Center—one of the largest morgues on the outskirts of Tehran—have circulated widely.

International media outlets have confirmed the authenticity of the images.

The US-based Human Rights Activists News Agency reports that more than 2,500 protesters have been killed. Other sources claim the death toll could be as high as 12,000 over just two nights in early January. The New York Times, after verifying videos and eyewitness accounts, has reported fears that up to 3,000 people may have been killed.​

Meanwhile, the Norway-based Iran Human Rights organization has confirmed 648 deaths, including children, warning that the actual number could exceed 6,000.
 
View attachment 3529665View attachment 3529666

Kwanza hiyo ni AI alafu acha ujinga. Kwenye hayo maandamano kulikuwa na maajenti wa mossad na CIA wakifanya mauaji na uwalibifu wa mali ili kuchochea machafuko ili kupata uwalali wa mashetani kuihalibu nchi ya watu.
 
Hapana hiyo sio AI ni picha halisi na kingine hao ni Wananchi wa kawaida kabisa huo u "mossad na Ucia" ni ile mbinu ya ukitaka kumuua nyani,

Kama kweli idadi yote hiyo ni mawakala wa CIA na Mossad basi muda wowote hiyo Nchi inaanguka kabisa kabisa
 
Hao mawakala wameshafinywa na wanasubili kitanza. Sasahivi Irani pako shwari ila wasioitakia mema Iran bado wanarusha picha na mavideo ya wiki zilizooita
 
Picha zikionyesha mamia ya mifuko myeusi ya maiti ikiwa imepangwa ndani na nje ya Kituo cha Uchunguzi wa Kimatibabu cha Kahrizak, mojawapo ya mochari kubwa pembezoni mwa jiji la Tehran

Vyombo vya habari vya kimataifa vimedhibitisha uhalisia wa picha hizo

Shirika la Human Rights Activists News Agency lenye makao yake Marekani linasema zaidi ya waandamanaji 2,500 wameuawa. Vyanzo vingine vimetaja idadi inayofikia 12,000 ndani ya usiku miwili tu mwanzoni mwa Januari. Gazeti la The New York Times, baada ya kuhakiki video na ushuhuda wa mashahidi, limeripoti hofu kuwa hadi watu 3,000 huenda waliuawa.

Shirika la Iran Human Rights lenye makao yake Norway limethibitisha vifo 648 ikiwemo watoto, likionya kuwa idadi halisi inaweza kuzidi 6,000.

View attachment 3529665View attachment 3529666

================ For English Audience ================
​
Images showing hundreds of black body bags lined up inside and outside the Kahrizak Forensic Medical Center—one of the largest morgues on the outskirts of Tehran—have circulated widely.

International media outlets have confirmed the authenticity of the images.

The US-based Human Rights Activists News Agency reports that more than 2,500 protesters have been killed. Other sources claim the death toll could be as high as 12,000 over just two nights in early January. The New York Times, after verifying videos and eyewitness accounts, has reported fears that up to 3,000 people may have been killed.​

Meanwhile, the Norway-based Iran Human Rights organization has confirmed 648 deaths, including children, warning that the actual number could exceed 6,000.
mbona wachache sana , angewachapa kama elfu 40,000 hivi mamluki wa mossad hao
 
Kwanza hiyo ni AI alafu acha ujinga. Kwenye hayo maandamano kulikuwa na maajenti wa mossad na CIA wakifanya mauaji na uwalibifu wa mali ili kuchochea machafuko ili kupata uwalali wa mashetani kuihalibu nchi ya watu.

Alafu = halafu
Uwalibifu = uharibifu
Uwalali = uhalali
Kuihalibu = kuiharibu
 
One thing in common? Sidhani km waamini wa upande mwingine wanaweza kuamuru mauaji ya viwango vya namna hii!
 
Kumbe huyu bibi wa kwetu alifaa sana kuwa secretary wa Ayatollah, wote kwao uhai wa mwanadamu si chochote. Labda damu za watu wanalisha majini yao.
Damu zilipomwagwa Zanzibar Tokea 1964 kwa maelfu mliona hayawahusu, Sasa yamewafika mumekuwa mahodari wa kukemea
 
Kwanza hiyo ni AI alafu acha ujinga. Kwenye hayo maandamano kulikuwa na maajenti wa mossad na CIA wakifanya mauaji na uwalibifu wa mali ili kuchochea machafuko ili kupata uwalali wa mashetani kuihalibu nchi ya watu.
Unaandika kiswahili cha kipumbavu sana! Alafu ndiyo nini? Uwalali ni nini?
 
Back
Top Bottom