Picha zikionyesha mamia ya mifuko myeusi ya maiti ikiwa imepangwa ndani na nje ya Kituo cha Uchunguzi wa Kimatibabu cha Kahrizak, mojawapo ya mochari kubwa pembezoni mwa jiji la Tehran
Vyombo vya habari vya kimataifa vimedhibitisha uhalisia wa picha hizo
Shirika la Human Rights Activists News Agency lenye makao yake Marekani linasema zaidi ya waandamanaji 2,500 wameuawa. Vyanzo vingine vimetaja idadi inayofikia 12,000 ndani ya usiku miwili tu mwanzoni mwa Januari. Gazeti la The New York Times, baada ya kuhakiki video na ushuhuda wa mashahidi, limeripoti hofu kuwa hadi watu 3,000 huenda waliuawa.
Shirika la Iran Human Rights lenye makao yake Norway limethibitisha vifo 648 ikiwemo watoto, likionya kuwa idadi halisi inaweza kuzidi 6,000.
View attachment 3529665View attachment 3529666
================ For English Audience ================
Images showing hundreds of black body bags lined up inside and outside the Kahrizak Forensic Medical Center—one of the largest morgues on the outskirts of Tehran—have circulated widely.
International media outlets have confirmed the authenticity of the images.
The US-based Human Rights Activists News Agency reports that more than 2,500 protesters have been killed. Other sources claim the death toll could be as high as 12,000 over just two nights in early January. The New York Times, after verifying videos and eyewitness accounts, has reported fears that up to 3,000 people may have been killed.
Meanwhile, the Norway-based Iran Human Rights organization has confirmed 648 deaths, including children, warning that the actual number could exceed 6,000.