Picha zilizopigwa na kutoa ujumbe tofauti na uliokusudiwa

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
19,913
Picha kama hii inaonesha ni namna gani vitu vitatu vinaweza kukutana kwa pamoja na kutoa ujumbe tofauti kabisa na ambao mpiga picha alikusudia(Perfect timing photography)
Object +Time+ Photographer

Mkuu Emmanuel Kasomi asante kwa kunikumbusha kuhusu hizi picha za namna hii. Wacha niweke hapa ambazo nimewahi kukutana nazo

Perfect camouflage kama jamaa hajavaa nguo vile😀😀
 
Anaitwa Propeller bird. Anazungusha hicho kichwa kumsaidia kutoboa matundu kwenye miti/magogo(drilling)

Kiswahili anaitwaje?


Hahahaaa reminds me of this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…